Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
16 . ni chache sanakwa sasa zipo ngapi? timu 20 ndio standard nzuri kwa nchi kubwa kama yetu.
issue football agency Imekuwa biashara kubwa sanaNafikiri 20 ni sahihi Kuna timu nyingine zipo Kama daraja la kulipa ubingwa timu nyingine.
๐ฎNadhani tuweke ziwe 15
๐ฎ๐ฎ
20 is too many 18 ni better standards kwa ligi yetu ila 16 wanazinguaTunahitaji ligi ya timu 20 standard ya England zinashuka tatu zina panda 2 moja inapanda kupitia play off ya champion ships ya timu 4 kuanzia aliyeshika namba tatu kwenye championship hadi sita mmoja anaunga na wale wawili kupanda ligi kuu
akili huna pita hivi ๐ฎ๐ฎ๐ฎ
Ngoja ulowane kwanza thako ntapita freshakili huna pita hivi ๐ฎ๐ฎ
Msengerema team lako na bahasha wako kashuka unalazimisha team ziongezeke unajua gharama ya kuendesha league!?akili huna pita hivi ๐ฎ๐ฎ
Wale jamaa play off yao safi sana, mshindi wa tatu anacheza na wa sita, wanne na wa tano home and away then inapigwa fainali moja mtu anapanda. Huku kwetu sasa kwa Karai ni hatari tupu.Tunahitaji ligi ya timu 20 standard ya England zinashuka tatu zina panda 2 moja inapanda kupitia play off ya champion ships ya timu 4 kuanzia aliyeshika namba tatu kwenye championship hadi sita mmoja anaunga na wale wawili kupanda ligi kuu
Zikiwa 18 au 20 poa sana.ligi kuu ina pesa nyingi sana. na possible next season pesa zitaongezeka. iko hivi,
1. Ligi kuu now ina recruitment organisations for players trials in foreign countries.
2. Kuna azam money na possible increase of fund every season. per team.
3. Kuna agency zinaongezeka. possible watu wana wachezaji wao ligi kuu. kushuka ni loss. vita ni kubwa.
4. Tuepushe hizi multiple process za kushuka dalaja. maana tuna best 16 teams. well built nani atakubali kushuka. bila vita.
5. This violence will just get worse na match fixing zitaongezeka. next seasons mambo yatakuwa mengi sana.
ie. Look into it.
Na kombe linatolewa kwa ataeshinda fainaliWale jamaa play off yao safi sana, mshindi wa tatu anacheza na wa sita, wanne na wa tano home and away then inapigwa fainali moja mtu anapanda. Huku kwetu sasa kwa Karai ni hatari tupu.