Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,421
Hongereni sana ccm,nakosa neno lingine zuri la kukupa.nan alikua wa kwanza kufanyia booking ya uwanja mind you uwanja ni wa ccm na wao ndio wenye mamlaka nayo
Kwani Nini kimeharibika?Wajumbe wa JF mna taarifa kuwa game ya Toto na Mwadui iliahirishwa kupisha shughuli za fiesta? Hahahha very interesting, kupitia redio pendwa efm nilimsikia Julio akihojiwa kuhusu kuahirishwa kwa mechi hiyo kisa fiesta.
Ratiba ilikua inaonesha game ingepigwa Jumamosi ambapo siku hiyo TFF walikua na zoezi lao muhimu la fiesta kwa kushirikiana na redio pendwa kwa mkulu, TFF wakaona aaah isiwe shida yaani tuache fiesta kisa mechi? Fiesta ikapigwa pale Kirumba na mechi ikapigwa jana Jumatano.
We huoni?Kwani Nini kimeharibika?