Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
Kwanza tutambue SI rahisi kuandaa ratiba ya msimu mzima hasa Kwa nchi kama hizi.
Na wala sioni kama ina athari yeyote kwenye maandaliziKazi za watu zinakuhusu nn?
Kwani ingekuwa imetoka, ingesaidia nini?Mauzauza ligi ya bongo bado siku 12 ligi ianze na mpaka sasa haijulikana ratiba inaanza na nani.