Njilembera JF-Expert Member Joined May 10, 2008 Posts 1,496 Reaction score 609 Sep 12, 2010 #1 Mwananchi imefanya kazi iliyonifurahisha. Imeweza kuorodhesha ahadi zilizokwishatolea na wagombea kiti cha uraisi. Kwenye ulingo ni JK akiwa na ahadi 22, akifuatiwa na Slaa 8 na Lipumba 7. Soma Wagombea urais wazidi kushindana kutoa ahadi
Mwananchi imefanya kazi iliyonifurahisha. Imeweza kuorodhesha ahadi zilizokwishatolea na wagombea kiti cha uraisi. Kwenye ulingo ni JK akiwa na ahadi 22, akifuatiwa na Slaa 8 na Lipumba 7. Soma Wagombea urais wazidi kushindana kutoa ahadi