hivi ukitaka kuangalia live tofauti na azam channel gani unaweza kuona mkuuLeo tarehe 20/04/2019 kituo ni Bukoba. Wale wanazi wa Mnyama tupeane update pls
Tumia Azam App kwa simu yakohivi ukitaka kuangalia live tofauti na azam channel gani unaweza kuona mkuu
Tumia Azam App kwa simu yako
Download kupitia Play store
Bila shaka ni AZAM SPORT TWO Ndo wanaonesha sema ipo verry over loaded mana apa naona inasachi tu hainiletei picha lkn nikihamia channel zingine znaonekana frshTumia Azam App kwa simu yako
Download kupitia Play store
hawa waseng tu nimejaribu chaneli zote zina unesha lakini ukifika azam sports 2 inagoma aifungui kabisa
Dah nilizan nikwangu tu mkuu ...
Ni kweli goli moja kagera wanaongoza
Teh teh
Nipo Mtani. Usishangae Kagera akirudi Second half akalegezwa na watu watajipigia tu.Mtani upo ,mie mpira ukiisha nitakuja
Hahahaha, Mtani ndio maana nikakuambia mie mpk uishe ,maana mmmhNipo Mtani. Najua Kagera atalegezwa tu Second Half yaani akirudi atakuwa kama picha na watu watajipigia tu.
Ukiisha ntakutag Mtani.
Hahahaaa. Ngoja twende wote Mtani tutarudi baada ya mechi. 🚶♀️🚶♀️🚶♀️Hahahaha, Mtani ndio maana nikakuambia mie mpk uishe ,maana mmmh