Mkulima na Mfugaji
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 1,047
- 1,832
Hata mi nimeshangaa, jezi zinafanana sana mpaka inaondoa raha kufuatilia, TFF mpo wapi?Simba wameshaanza ukorofi, wapo ugenini walitakiwa wavae away kit. Kuna mfanano sana wa jezi. Tutegemee makosa mengi ya mwamuzi. Wasimamizi wa hii mechi hawakuliona hili kwenye pre match meeting?
Bonge ya goli la nje ya nchiGoooooooooaal Sisi ni moja wao bila
Kichuyaaaaa
Omog ni tatizo,unaiona foward yake sasa,amemtoa OkwiKichuya safi sana, tatizo Omog