Ligi kuu Tanzania bara msimu wa 2017/18, nani bingwa?

Ligi kuu Tanzania bara msimu wa 2017/18, nani bingwa?

Iyegu

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Posts
6,276
Reaction score
12,404
Ligi inakwenda kuanza hivi karibuni...
Unampa nani nafasi kubwa ya kuchukua ubingwa na kwanini?
 
Simba : Community Shield
yanga : LigiKuu tanzania Bara
 
kama kawa simba bingwa wa mabonanza yanga bingwa wa ligi
 
Lipuli bingwa

Sent from koromije using bashite
 
Back
Top Bottom