Hapa tunaangalia uwezekano wa nani atakuwa mfungaji bora ndio maana umeweka majina tofauti, takwimu zinambeba Mugalu kama asipokuwa na majeruhi lakini siyo lazima awe yeyeSawa.. top scorer atakuwa Mugalu?
haaa haaa utopolo wenyewe wanapingaAu tumpe YACOUBA
Sio Dube?
dube bado simuamini, mk14 amesharecovery ana uwezo wa kutetea tena kiatuSio Dube?
nmesikitika nilipopata taarifa kuwa amepata injury,Dube amepata injury atakuta wengine wamemuacha