libeva JF-Expert Member Joined Mar 25, 2015 Posts 4,465 Reaction score 3,615 Sep 19, 2015 #101 Katavi said: Ninyi ndio mtapatwa na shinikizo la damu maana hamtaamini kitakachowapata. Click to expand... Kwa Simba zee
Katavi said: Ninyi ndio mtapatwa na shinikizo la damu maana hamtaamini kitakachowapata. Click to expand... Kwa Simba zee
Mgagaa na Upwa JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 13,481 Reaction score 28,116 Sep 19, 2015 #102 Harufu ya ubingwa timu ya wananchi mapemaaaa
Abou Saydou JF-Expert Member Joined Dec 1, 2014 Posts 2,947 Reaction score 2,108 Sep 19, 2015 #103 Watu8 said: Kamusoko anafunga goli la kwenye kideo... Magoli kama haya mara ya mwisho mtu kama Yusuph Macho au Salvatory Edward ndio walikuwa wakiyafunga... Click to expand... Huyu Kamusoko mpira anaujua sana Yanga wamekula Jembe la msimu
Watu8 said: Kamusoko anafunga goli la kwenye kideo... Magoli kama haya mara ya mwisho mtu kama Yusuph Macho au Salvatory Edward ndio walikuwa wakiyafunga... Click to expand... Huyu Kamusoko mpira anaujua sana Yanga wamekula Jembe la msimu