Nalifahamu hiloTANESCO wanamuonea sana Shadeeya hasa katika mechi za Simba😀😀😀
Hahahahaha tater bwanaKukusaidia kuhema..
Si unajua huduma ya kwanza kwa mtu alieshindwa kuhema.!???
HahahahhahaBasi hapo tutazungumza vizuri
😀😀😀Tanesco katika ubora wao
😀😀😀 leo huo msemo hauna nafasi bana.Hahahahaa, daima wapi? Nyuma nini?😛😛😎
Aah. Wappi.
Nakukumbusha tu Shadeeya😀😀😀 leo huo msemo hauna nafasi bana.
Mpira haujaisha tu