JM3
Senior Member
- Dec 13, 2019
- 157
- 328
Klabu ya simba Leo itakuwa uwanjani kumenyana na Gwambina timu ambayo mpaka sasa haijaonesha makali yoyote pamoja maneno ya zahera kuwa mengi, hii mechi itakuwa ngumu kidogo kwasababu gwambina hawataingia kwa kusudio la kushinda Bali wataingia kwa kujilinda zaidi kutokana na ubora wa kikosi cha simba hivyo hii mechi naipa simba ushindi wa bao 2-0
Tanzania Prison vs Azam FC.
Mechi hii nayo haitakuwa rahisi kutokana na vikosi vya timu zote kutaka ushindi hasa azam fc wanao hitaji kuendelea kuongoza ligi hivyo hii mechi nayo naipa ushindi Azam FC wa bao 1-0
Polisi tanzania vs Dodoma jiji
Mechi hii sio rahisi hata kidogo kutokana na timu zote kuwa bora hivyo mechi hii naipa sare yoyote ile.
Hii ni kwa mtazamo wangu, nawe unaweza kuweka utabiri wako.
Mechi zote tutazirusha live kupitia App hii pia ligi kuu ya england (EPL) Bundesliga, La Liga, Ligue One nk download App