App gani?MECHI IKO LIVE PAKUA APP KUITAZAMA
Ha ha sio bhoo ni beau neno la kifaransa likimaanissha yes au ndioGwambina si ndo timu yupo Bhoo Mwinyi Zahera aliyekuwa kocha wa Yanga?
Kama ndo yenyewe basi wapigwe hata tano.
Kagere apewe nini na Bwalya,mipasi yote kapewa
Yaaani wamebaki Maccopolo gorin, mpira umekosa radhaSimba wabadili mbinu ya kufunga,hii mitoto imejaa nyuma yote