Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Shadeeya vp chama kubwa tunaongoza huko..?Hakika maana ni mwendo wa vumbi tu pale.
Umeonaeee. Utakuta imekolezwa dkk chache kabla ya mchezo kuanza.
Vizuri sana... Leo wafanye kweli...Tunaongoza aiseeee.
Dkk ya 41 Sisi 1 wao 0
Ewaaaaaa. Tupate ushindi leo angalau utakuwa mwanzo mzuri kuikaribia jumamosi.Vizuri sana... Leo wafanye kweli...
Piga hao maafande uchwara then Jumamosi tunaimaliza Mikia
Tarehe 16 mtapata aibu sanaaaaEwaaaaaa. Tupate ushindi leo angalau utakuwa mwanzo mzuri kuikaribia jumamosi.
Sidhani kama itakuwa hivyo sababu mechi za Watani wa jadi zinajulikana yaani huwa kinachotarajiwa sicho kinachotokea.
Ndivyo mnavyokujaga na matokeo yenu uwanjani mwishoe mnaanza kung'oa viti
Hahahaaa. πππ
Husahau. ππππ
[emoji3]bora umebakiaHahahaaa. [emoji85][emoji85][emoji85]
Umeniambiaje kwani mwanzo?
πππ Duuh
Halafu bakuli lenyewe naliona kama la kienyeji lile. Sidhani kama sio mtu anajitafutia Ugali kwa kupitia mgongo wa Yanga.
[emoji23]ni la mdau wenu hiloHalafu bakuli lenyewe naliona kama la kienyeji lile. Sidhani kama sio mtu anajitafutia Ugali kwa kupitia mgongo wa Yanga.
Maana sijui kofia lile. Ila nisihukumu huenda akazifikisha.
Ooh. Basi limenitatiza maana huwa naonaga zile ndoo za mifuniko cha ajabu leo naona wanachangisha na kofia sijui kikapu kile.
Sidhani kama haibu hyo itafanana na ile mliyopata nyie Kyle kwa Mafarao..
[emoji23][emoji23]ndoo zimejaa itakuaOoh. Basi limenitatiza maana huwa naonaga zile ndoo za mifuniko cha ajabu leo naona wanachangisha na kofia sijui kikapu kile.
Hahaaa. Jamaani