Leo mwigulu nchemba yupo upande gani
Half time mama bila bilaNgapi ngapi? [emoji85][emoji85]
😂😂😂😂 sawa Mkuu.
Hahhahahha baba wawili hata wewe kweli
Lol
🙏🙏🙏Half time mama bila bila
Kila la heri singida
HahahahaKila la kheri Timu ya Wananchi
"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"
Acha fikra potofu chezeniHawa marefa hapana aisee...yanga ikichukua ubingwa ni kudra za mwenyez Mungu,kuna mpango kabambe wakuifuta yanga kwwnye raman ya soka lakin hilo halitofanikiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Waje ghetto kuchukuaMapumziko,sasa wachezaji wa Yanga wanaomba kuchangiwa mishahara kupitia Azam
Hawa marefa hapana aisee...yanga ikichukua ubingwa ni kudra za mwenyez Mungu,kuna mpango kabambe wakuifuta yanga kwwnye raman ya soka lakin hilo halitofanikiwa
Sent using Jamii Forums mobile app