Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) | Mzunguko wa 8: Young Africans SC Vs Simba SC, Washindwa kutambiana. 28 Oktoba 2017

Hadi saiv nasikia mavuvuzera huku mtaani ila sielewi hawa ndala fc wanashangilia kitu gan
 
Hadi saiv nasikia mavuvuzera huku mtaani ila sielewi hawa ndala fc wanashangilia kitu gan


Wanashangilia Sare! Si unajua Sikuhizi [HASHTAG]#YeboYebo[/HASHTAG] Wanatafuta Promo Kwa Kucheza Na Simba!!!
😀😀😀😀
 


Yani Mukifunga Magoli Munanawa Na Refa Anayakubali! Mukiokoa Magoli Munanawa na Refa Anakulindeni No Penalt...

Hongereni [HASHTAG]#MbelekoFC[/HASHTAG]
 
Yani Mukifunga Magoli Munanawa Na Refa Anayakubali! Mukiokoa Magoli Munanawa na Refa Anakulindeni No Penalt...

Hongereni [HASHTAG]#MbelekoFC[/HASHTAG]
Nyinyi Manyumbu FC...Imekuwaje tena mnaanza kupanick. Hau haukutegemea kuona kile Bil 1.3 imefanya leo.

Malinzi alivyoondoka mkasema sasa anayewabeba hayupo...

Manji kaondoka mkasema sasa anaye nunua marefa hayupo..

Nendeni TFF hakikisha unaongozana na Hadija Manara mkahakikishe TFF wanaifuta Club ya Yanga kwa kuwa ndio njia pekee ya nyinyi kuweza kufanikiwa kwenye ligi hii otherwise mtaendeleea ku suffer mpaka Yesu arudi.
 


Kaondoka Malinzi na wala Hawakuondoka Marefa..

By the way! Endeleeni Kujifariji Na Draw.... Kwani Kwa Siku Hizi Ndiyo Ushindi Wenu Munapokutana Na Simba...
 
[QUOTEing Ngwaba, post:0087, member: 366055"]Wanashangilia Sare! Si unajua Sikuhizi [HASHTAG]#YeboYebo[/HASHTAG] Wanatafuta Promo Kwa Kucheza Na Simba!!!
😀😀😀😀
[/QUOTE]
Yanga ifanye promo kwa Mikia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…