Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) | Mzunguko wa 8: Young Africans SC Vs Simba SC, Washindwa kutambiana. 28 Oktoba 2017

[QUOTEing Ngwaba, post:0087, member: 366055"]Wanashangilia Sare! Si unajua Sikuhizi [HASHTAG]#YeboYebo[/HASHTAG] Wanatafuta Promo Kwa Kucheza Na Simba!!!
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Yanga ifanye promo kwa Mikia?[/QUOTE]

Kwa Mikia Ndiyo! Yanga Hafanyi Promo..
Lakini Kwa [HASHTAG]#Simba[/HASHTAG] Ndiyo! Yanga Anatafuta Promo That is Why Mulipo-Draw na Mtibwa Haikua issue Kwenu Kwasababu Ni Timu Ndogo Mwenzenu
! Lakini Draw Na Timu Kubwa Kama Simba Munaona Kama Mumeahinda CAF CL...
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Takwimu za mwisho wa mechi ya jana kati ya Yanga na Simba zipo hapa chini. Naomba wale wenye uwezo wa kuchambua takwimu wanisaidie kunieleza tafsiri ya takwimu hizi:

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…