mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Hata mwaka jana walitangulia na baiskeli ya mbao na hawakufika popote!! Wakisikia gari kubwa huko nyuma linapiga lesi kiwewe tayari!!! Hiyo mliyosikia kilichompata Namungo ni lesi tu!!! Gari kubwa karibu lishaanza kuchanganya na hakuna namna ni suala la muda tu baiskeli ya miti lazima ipishe!!! Uzoefu wa kulipisha gari kubwa wanao, maana wamefanya hivyo kwa miaka minne iliyopita!! Nawasilisha!!