Ligi kuu Tanzania Bara: Yanga Afrika 3 - 0 JKT Tanzania

Mkuu hawa jamaa niwa kuwaonea huruma, wanafikiria sisi tunawazia ligi ya hapa nyumbani kwa sasa, lengo letu kwa sasa ni kufikia hatua ya makundi katika klabu bingwa barani Africa, mambo ya kuwazia jkt, KMC, African lyon tumewaachia wenyewe vyura fc.
we kweli ubongo wako haufikiri...yani unaona TPL ya kipuuzi unasahau kuwa bila kuwa mshindi TPL huwezi shiriki ligi ya club bingwa barani Africa....teh teh teh kweli mikia fc mmevurugwa....yani ukikosa kushinda TPL basi jua uwezi shiriki club bingwa Africa.....alaf kuna mwenzako huku leo kaweweseka pindi anatembea et anasema akikosa chukua kombe TPL basi atachukua kombe club bingwa ujue nilicheka sana nikasema hakika simba kanyolewa kipara hadi hajitambui sasa
 
Bakuli fc.
Kakolanya anaomba mlango ulioandikwa EXIT.
 
Kwa uwezo wa simba lunyasi ya sasa ni aibu kuwazia ligi ya nyumbani kwa kiasi kikubwa, ligi yenyewe simba kupata matokeo ni kama kusukuma mlevi vile, ninachoweza kukuhakikishia ni kuwa msimu huu simba ni bingwa tena, kwa ukubwa wa kikosi chetu TPL ni nyepesi mno, hivyo tulia mkuu uangalie mbungi la kimataifa kwanza.
 
Bakuli fc.
Kakolanya anaomba mlango ulioandikwa EXIT.
Bakuli fc.
Kakolanya anaomba mlango ulioandikwa EXIT.
Hawa ndorobo fc pesa hawana wamebaki tu kutupigia kelele mitandaoni, watafute hela ya kumalizana na wachezaji wao kwanza kabla ya kuiwaza simba manake kwa sasa sisi sio level yao kabisa, tuko juu mno mno mno.
 
sawa mkuu endelea kujifariji hivyo hivyo kwa maana hata sisimizi anajifariji atakuja kuwa mkubwa kama tembo

lakini yanga ndiyo haoooo bao bao hiyo
 
huko juu ya nani weka msimamo wa ligi tuone
 
sawa mkuu endelea kujifariji hivyo hivyo kwa maana hata sisimizi anajifariji atakuja kuwa mkubwa kama tembo

lakini yanga ndiyo haoooo bao bao hiyo
Mwisho wa msimu ndio utatoa majibu ya yote mkuu, tuwe na subra tafadhali.
 
ligi yetu ina mapungufu makubwa sn, how comes mtu anakua na viporo 3?

something is wrong!
Lakini kila mmoja si alipata share yake? Au Yanga kapewa mechi nyingi zaidi ya timu nyingine kiazi cha kubakiza viporo vya baadhi ya mechi huku wenzao wakipunjwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…