Ligi Kuu tar 18/04/ 2015: Mbeya City vs Simba

ndomyana

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Posts
5,630
Reaction score
2,169
Leo ndio Leo hapa mbeya . Mbeya city ikitaka kujiahakikishia inabaki ligi kuu Mbele ya mteja wake Wa Siku zote Simba itamenyana vikali apa Sokoine. Simba ikitaka kushika nafasi ya Pili ligi kuu na kupata nafasi ya uwakilishi je itafuta uteja wake kwa Mbeya city. Karibu tuungane badae sokoine
Full time Mbeya city 2-0 simba
 
Simba leo analiwa hana ujanja hapo sokoine wagonga nyundo pigeni hao mikia.
 
Kila la kheir timu ya Mbeya city,
Wagonga nyundo piga hiyo mikia irudi polin ikawinde swala.
 
Ee Mungu simama mwenyewe ktk siku ya leo tawala mechi hii Amina.
 
nasikia okwi hatacheza kwa sababu anakadi tatu Za njano, ule mpango Wa kaburu na Tff kuwaidhinisha wachezaji Wa simba wenye kadi tatu Za njano kucheza mechi mechi kinyume na sheria Za kadi tatu Za njano kwa mchezaji husika kukosa mechi inayofuata umeishia wapi???? au wamesahau kumuombea kibali
 

Mbeya city piga hao watu.
 
Mbeya City, kama kawa, kama dawa, piga mikia warudi Msimbazi waanze kutwangana ngumi
 
Mm nangoja jioni nimsikie kitenge akimvuruga sande manara
 
Hii ni mechi ngumu zaidi kwa MCC kuliko Simba...

Nahisi itaishia na matokeo ya sare...
 
Moira haujanza ila mashabiki hawajajitokeza wengi
 
Simba wamegoma kuingia vyumba vya kubadilishia nguo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…