Ligi Kuu tar 18/04/ 2015: Mbeya City vs Simba

Simba B; Manyika Peter, Cholo, shabalala, Job, Isiack, Abdi, Ndemla, Jonas, Manguli, Singano...
 
Kumbe bado hawajafungana..

azam anaongoza moja bila..
 
Hii mechi kwa nini haikuahirishwa ili kuwapa wachezaji haki ya kuangalia timu ya taifa ikicheza(yanga)
 
Mwisho wa siku mbeya city wanapigwa.
 
inagonga mtamba Wa panya yanga anakoswakoswa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…