Ligi Kuu tar 18/04/ 2015: Mbeya City vs Simba

Hii timu yangu ya Simba inamaudhi sana, itabidi tubadilishe mchezo, tuachane na soka sababu limetushinda

mkuu, niliposikia majina nikajua kazi ipo unajua mpira. nao unahitaji wachezaji wakutisha ili timu pinzani icheze ikiwa na wenge...
 
Dak ya kumi mcc1 mikia o. Kipindi cha pili
 
yebo yebo baada ya kupewa penalty wamepata sare...
 
Polleniii simba ............. cha 2 hicho.................
 
Mbeya kunani mbona hamtaki kutoa updates?
 
yebo yebo baada ya kupewa penalty wamepata sare...

mpira umeisha huku Yanga wamekataliwa goli nzuri sana, bila shaka kibendera atafungiwa mana ndiye alikataa goli. Tuamie sokoine kwa mikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…