Kweli au?
Msimu huu si wetu kwa kweli
Simba koko kashatundikwa mbili
So mwakani tena mnyama hapandi ndege duuuu!!!!
So mwakani tena mnyama hapandi ndege duuuu!!!!
Mkuu watapanda kwenda KOMBE LA MAPINDUZI
Kupanda ndege na kuishia raundi ya kwanza ni hasara tu. Timu zinaanza kufaidi ruzuku ya CAF zinapofika robo fainali. Simba ijipange, mwaka 2017 icheze robo fainali za CAF. Hawa wengine naona wanachofurahia ni kupanda ndege!Mkuu watapanda kwenda KOMBE LA MAPINDUZI
mpira haujaisha tu wakuu???
Vipi Azam wadau
Kupanda ndege na kuishia raundi ya kwanza ni hasara tu. Timu zinaanza kufaidi ruzuku ya CAF zinapofika robo fainali. Simba ijipange, mwaka 2017 icheze robo fainali za CAF. Hawa wengine naona wanachofurahia ni kupanda ndege!
Ndio maana nimekuambia 2017Sasa mkuu litawezeka vp la mikia kama mnaishia nafasi ya 4? Ni lazima ushinde ndani ndo ucheze CAF mkuu