Ligi Kuu tar 18/04/ 2015: Mbeya City vs Simba

Mkia umenyanyuliwa mbeya siti wakapiga ilee kitu ya we dereeeee
 
Mnisamehe nilishia njiani kamchina kalikata chaji
 
msimamo wa ligi uko vipi, maana hii website ya TFF hamna kabisa..

Tunaiomba CAF irudishe kombe la CAF ambalo lilikuwa linshindaniwa na timu zinazoshika nafasi ya 3 kwenye Ligi za nchi zao!
 

Attachments

  • 1429379442247.jpg
    34.1 KB · Views: 227
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…