Match Kali Na Ilyokuwa Ya Muhmu Kwa Arsenal Wakiwa Uwanja Wao Wa Nyumbani Emirates, Wamewapa Kipigo Cha Goal 4-1 Dhidi Ya Liverpool, Huku Ikiwa Goli 3 Zimefungwa Kipindi Cha Kwanza Ndani Ya Dakika Tisa, Wafungaji Ni Bellerin (36),ozil 39,sanches 45, Na Giroud 90. Na Kuifanya Arsenal Kuwa Nafasi Ya Pili Na Pointi 63