Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,641
- 6,694
Ilikua miaka gani hiyo
mimi nilianza kufuatilia EPL kwa 90% kuanzia 1998 na huyu jamaa alistaafu 2005 au 2006.Ilikua miaka gani hiyo
Alikuwa na beji ya FIFA.
Sijui kwanini siku za hivi karibuni waamuzi weusi hakuna!Alikuwa na beji ya FIFA.
Huyu ndio mwamuzi wa kwanza kumpa Alan Shearer kadi nyekundu.
Sio tu waamuzi hata mameneja weusi katika soka la juu hakunaSijui kwanini siku za hivi karibuni waamuzi weusi hakuna!
inaonekana ni wachache saana kuwahi kutokea katika soka ya Uingereza
Walau hii kidogo maana kuna kama akina Viela na Henry soon watakua makochaSio tu waamuzi hata mameneja weusi katika soka la juu hakuna
kwa mameneja Paul Ince kama sikosei ndo wa kwanza wakati huo akiiongoza Blackburn roversSio tu waamuzi hata mameneja weusi katika soka la juu hakuna
Kuna kipa alkua anaitwa JamesHata makipa weusi nao hakuna.
Nasikia huwa wanasema makipa weusi sio wa kuwaamini.Kuna kipa alkua anaitwa James
timu ya taifa uingereza
Alikuwa na dani tatu za Karate
Kulikua na Jean Tigana aliifundisha Fulhamkwa mameneja Paul Ince kama sikosei ndo wa kwanza wakati huo akiiongoza Blackburn rovers
David James, nilimkubali sanaKuna kipa alkua anaitwa James
timu ya taifa uingereza