Ligi Kuu Vodacom: Leo, 19 Februari 2015

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
10,702
Reaction score
3,319

Habari wakuu,

Kama kawaida leo tutaendelea na ligi kuu Tanzania bara kwa mechi mbili, ni vita ya kugombania kukaa kileleni mwa ligi kuu ya Tanzania bara, yoyote atakaeachia pointi yoyote na mwenzake akaipata atahesabu maumivu walau ya siku mbili tatu.
[TABLE="class: leaguemanager standingstable"]
[TR]
[TH="class: num"]Pos[/TH]
[TH="class: num"][/TH]
[TH="class: logo"][/TH]
[TH]Team[/TH]
[TH="class: num"]Pld[/TH]
[TH="class: num"]W[/TH]
[TH="class: num"]T[/TH]
[TH="class: num"]L[/TH]
[TH="class: num"]Goals[/TH]
[TH="align: center"]Diff[/TH]
[TH="class: num"]Pts[/TH]
[/TR]
[TR="class: alternate"]
[TD="class: rank"]1[/TD]
[TD="class: num"]•[/TD]
[TD="class: logo"]
[/TD]
[TD]Azam[/TD]
[TD="class: num"]13[/TD]
[TD="class: num"]7[/TD]
[TD="class: num"]4[/TD]
[TD="class: num"]2[/TD]
[TD="class: num"] 22[/TD]
[TD="class: num"]10[/TD]
[TD="class: num"]25[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: rank"]2[/TD]
[TD="class: num"]•[/TD]
[TD="class: logo"]
[/TD]
[TD]Young Africans[/TD]
[TD="class: num"]13[/TD]
[TD="class: num"]7[/TD]
[TD="class: num"]4[/TD]
[TD="class: num"]2[/TD]
[TD="class: num"] 15[/TD]
[TD="class: num"]8[/TD]
[TD="class: num"]25[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Tanzania Prisons Vs Yanga (Sokoine - Mbeya)
Yanga kazi yake itakua huko Mbeya japo yaonekana nyepesi kidogo kwa kupambana na anaefunga pazia la ligi kuu, Prisons ya Mbeya lakini wanaweza kuwastaajabisha wanajangwani hasa kutopenda kuaibishwa wakiwa nyumbani.
[TABLE="class: leaguemanager standingstable"]
[TR]
[TH="class: num"]Pos[/TH]
[TH="class: num"][/TH]
[TH="class: logo"][/TH]
[TH]Team[/TH]
[TH="class: num"]Pld[/TH]
[TH="class: num"]W[/TH]
[TH="class: num"]T[/TH]
[TH="class: num"]L[/TH]
[TH="class: num"]Goals[/TH]
[TH="align: center"]Diff[/TH]
[TH="class: num"]Pts[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="class: rank"]2[/TD]
[TD="class: num"]•[/TD]
[TD="class: logo"]
[/TD]
[TD]Young Africans[/TD]
[TD="class: num"]13[/TD]
[TD="class: num"]7[/TD]
[TD="class: num"]4[/TD]
[TD="class: num"]2[/TD]
[TD="class: num"]15[/TD]
[TD="class: num"]8[/TD]
[TD="class: num"]25[/TD]
[/TR]
[TR="class: relegation"]
[TD="class: rank"]14[/TD]
[TD="class: num"]•[/TD]
[TD="class: logo"]
[/TD]
[TD]Prisons[/TD]
[TD="class: num"]13[/TD]
[TD="class: num"]1[/TD]
[TD="class: num"]8[/TD]
[TD="class: num"]4[/TD]
[TD="class: num"]10[/TD]
[TD="class: num"]-2[/TD]
[TD="class: num"]11[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Ruvu Shooting Vs Azam FC ( Mabatini - Mlandizi)

Wakiwa bado wana furaha ya goli 2-0, Azam watawafata Ruvu shooting kwenye uwanja wao wa Mabatini-Mlandizi, pamoja na ubora wa Azam kwa sasa haitakuwa mechi nyepesi sana, tuwe pamoja kuanzia mishale ya saa kumi Alasiri kujua wababe kwenye mechi za leo
.
[TABLE="class: leaguemanager standingstable"]
[TR]
[TH="class: num"]Pos[/TH]
[TH="class: num"][/TH]
[TH="class: logo"][/TH]
[TH]Team[/TH]
[TH="class: num"]Pld[/TH]
[TH="class: num"]W[/TH]
[TH="class: num"]T[/TH]
[TH="class: num"]L[/TH]
[TH="class: num"]Goals[/TH]
[TH="align: center"]Diff[/TH]
[TH="class: num"]Pts[/TH]
[/TR]
[TR="class: alternate"]
[TD="class: rank"]1[/TD]
[TD="class: num"]•[/TD]
[TD="class: logo"]
[/TD]
[TD]Azam[/TD]
[TD="class: num"]13[/TD]
[TD="class: num"]7[/TD]
[TD="class: num"]4[/TD]
[TD="class: num"]2[/TD]
[TD="class: num"]22[/TD]
[TD="class: num"]10[/TD]
[TD="class: num"]25[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: rank"]6[/TD]
[TD="class: num"]•[/TD]
[TD="class: logo"]
[/TD]
[TD]Ruvu Shooting[/TD]
[TD="class: num"]14[/TD]
[TD="class: num"]5[/TD]
[TD="class: num"]4[/TD]
[TD="class: num"]5[/TD]
[TD="class: num"]10[/TD]
[TD="class: num"]-1[/TD]
[TD="class: num"]19[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
======================

00' Kutoka Mabatini hapa, filimbi kuashiria mwanzo wa mechi inapigwa
00' Kutoka Sokoine nako refa anapuliza filimbi kuashiria mwanzo wa mchezo nusu saa baada ya mtanange wa Mabatini kuanza

03' Goooool, Simon Msuva anaiandikia Yanga bao kwanza baada ya mpira wa kona, wajelajela wanamfata refa kumlalamikia kipa kusumbuliwa ndani ya eneo lake.
10' Tanzania prisons wanakosa nafasi nzuri ya kusawazisha kupitia kwa Mwwakalobo, Yanga 1-0 Prisons
11' GOOOL, Prisons wanajiongezea wenyewe bao la pili baada ya kujifunga, Coutinho alipiga shuti golini lililomaliziwa na mchezaji wa Prisons

45+ Mechi ya Ruvu shooting na Azam inaenda mapumziko, magoli ni 0-0


Msuva kaiongezea Yanga bao la tatu

Matokeo ya Mwisho:

Tanzania Prisons 0 - 3 Yanga

Ruvu Shootings 0 - 0 Azam
 
Leo apa mbeya sokoine panampambano ,kali kati ya mabingwa wa kihistoria wa tanzania yaani YANGA, na timu ya wajerajera yaani prison.

Ntakua nanyi wadau kuwahabarisha juu ya huu mpambano utakaoanza saa 10 za jioni.


Karibu wadau wengine tuungane.
 
Mchezo wa Azam na Ruvu wameanza kucheza...
 
Nataka nisikilize redio....naomba frequency kama unazo...na ni redio gani...sina access na TV kwa sasa

Jaribu TBC Taifa mara nyingi wanatangaza mechi zinazohusisha Simba na Yanga, kwa Dar FM 87.5.
 
Dakika ya 36, bado Azam na Ruvu hawajafungana.
 
Mpira wa Prisons na Yanga ndio umeanza hapa Sokoine...
 
Simon Msuva anaipatia Yanga goli la kuongoza kutoka katika mpira wa kona...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…