shabhibhii nafwa
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 300
- 148
Matokeo vip wakubwa
nahamia jukwaa la siasa. aibu tuu lazima mcc tuwaonyeshe kazi juma1 mtarudi na tatu dasrama
Inaonekana una ashk majnun wewe binti
NaOH + HCl = NaCl + H2O
Displacement reaction mkuu sodium(Na)
Pole sana umesema unaa?? sasa itoe hiyo, mi nafuraha zangu. Mtafute mtu akutoe hiyo aisee
Pole sana umesema unaa?? sasa itoe hiyo, mi nafuraha zangu. Mtafute mtu akutoe hiyo aisee
Wapo jela na wengine selo, kule unanyang'anywa simu ndo unaingiaMashabiki wa magereza siwaoni jamvini au hawana bando?
Hawa mikia taabu sana, akili zao ziko chini badala ya kuwa juu kichwani.
Si ndiyo hapo sasa mkuu, wenzake wamekimbia yeye anajitoa ufahamu hapa. Mbona wataisoma Yanga ubavuni mwaka huu.
J2 yanga hawachomoki hapo sokoine.