Ligi Kuu Vodacom: Leo, 19 Februari 2015

Bantu lady nipo nachungulia kwa mbali si unajua tena wajelajela ni wa nyumbani hao.
 
Last edited by a moderator:
Ubingwa mtaishia kuusikia tuu..Simba wako jikoni wanachemsha dawa yenu.
 
Dk 82 bado 3-0,Prison wameamua kucheza Judo ili kupunguza magoli.
 
Sasa ni uchawi au pesa? Mbona inaonekana sababu zinakuwa nyingi? Huwa napenda sana mtu anaposimama katika hoja yake ya awali, otherwise anakuja kukubali hoja za wengine. Lakini ukiona mtu wakati huu anatoa hoja fulani, baada ya dakika chache anaachana na hoja yake mwenyewe na kuanzisha nyingine mpya, my rating to the person is always towards poor.
 
Full Time: Prisons 0-3 Yanga.

Tunakwea kileleni kushika usukani wa treni huku mikia na wenzake wakiwa nyuma wakiendesha mashua.

'Manahodha wa mashua kwa nini wakae nyuma?'.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…