Ligi Kuu Vodacom: Leo, 19 Februari 2015

Eraaaweraaaaaaakandambiriiiii3biraaaaawapiiruvuushuutingggpigaazammmaahaaaaaaasareesareeeelohhhnipeenipeee nikikupautareeewaaaaaaaaa
 
Ubingwa mtaishia kuusikia tuu..Simba wako jikoni wanachemsha dawa yenu.

...Just kama CHADEMA walivyo jikoni wakichemsha dawa ya kuiua CCM mkuu.

BTW I am a supporter of Simba Sports Club.
 
90+ Azam 0;rvshtn 0. Akaaayangaaafrikaaaayangaamojaaa wamataifaaa yamasharikiiii afrikanakatiiiii
Cc pepekalreeeeeee​
 
Hakuna haja ya kutumia risasi kuua nyoka, fimbo yatosha! Kajifunze maana ya maneno hayo.
Sijajua bado kama Sherman ni fimbo au risasi. Kwani mshambuliaji hatari wa kati wa kimataifa kutoka Liberia, Afrika Magharibi, ana magoli mangapi VPL? Maybe I will then be in a position to know who the hell is he!
 
90+ Azam 0;rvshtn 0. Akaaayangaaafrikaaaayangaamojaaa wamataifaaa yamasharikiiii afrikanakatiiiii
Cc pepekalreeeeeee​
Mzee wa JNIA aka airport, kwani vipi tena taxi driver wangu?
 
Aiuzwikwwweenyeeumrichiniyamiakakuminanee
 
Mkuu Jabulani hujanisoma vizuri, kuna member ali coment hapa kwamba 'Yanga wana roga sana" nimkamjibu hivi; Hata mikia wamekamatana uchawi gemu ya juzi Moro.
Kisha na wewe ulama na swali lako, 'kwani matokeo yalikuaje"? Nikakujibu hivi; 'Mbumbu fc walishinda 2-0 si unajua tena mambo ya Mpesa"
 
Kwa mbaaaali naliona kombe likiwa limening"iniziwa viuzi vya njano na kijani huku kanavaro akijiandaa kukabidhiwa na mgeni rasmi ndugu jakaya kikwete,huku na mimi nikiwa jukwaa la kulia nimeshika huawei kupiga picha tukio hilo,alafu kwa mbaali jukwaa la kushoto naona viti vyeupee wachache waliobaki wameshika shavu wakisonyasonya
 
Eraaaweraaaaaaakandambiriiiii3biraaaaawapiiruvuushuutingggpigaazammmaahaaaaaaasareesareeeelohhhnipeenipeee nikikupautareeewaaaaaaaaa

Sikutegemea kucheka leo…dah kweli jf ni stress free zone…ganja bwana!!!
 
Eraaaweraaaaaaakandambiriiiii3biraaaaawapiiruvuushuutingggpigaazammmaahaaaaaaasareesareeeelohhhnipeenipeee nikikupautareeewaaaaaaaaa

Mkuu huu ndo mwandiko wako siku zote?
nimecheka mpaka basi.
 
Eraaaweraaaaaaakandambiriiiii3biraaaaawapiiruvuushuutingggpigaazammmaahaaaaaaasareesareeeelohhhnipeenipeee nikikupautareeewaaaaaaaaa

Yeah, hii ni kali.

Ushabiki una wenyewe, sisi wengine tunaigiza tu.

Asante Yanga kwa ushindi wa leo ulioibua vipaji vya mashabiki kama huyu ndugu yangu Pdidy.
 
Last edited by a moderator:
Leo Azam walikuwa masaro ya nyanya mbele ya Ruvu Shooting (Masao Bwire).
 
yangaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Oyoooooooooooyoooooooooo oyoooopopppooyooooooooooo yangaaaaayangaaaaaaaaaaaaayamgaaaaaayangaaaaaaa
 
Kwenyekubaka akuna kutongoza kwenye rushwa kwaniniiaombeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…