Kwa mbaaaali naliona kombe likiwa limening"iniziwa viuzi vya njano na kijani huku kanavaro akijiandaa kukabidhiwa na mgeni rasmi ndugu jakaya kikwete,huku na mimi nikiwa jukwaa la kulia nimeshika huawei kupiga picha tukio hilo,alafu kwa mbaali jukwaa la kushoto naona viti vyeupee wachache waliobaki wameshika shavu wakisonyasonya