Ligi Kuu Vodacom: Leo tar 22/2/2015

Ligi Kuu Vodacom: Leo tar 22/2/2015

Ndala lazima akalishwe.. Simba Sc ushindi kama kawa.
 
Mikia, mbumbumbu a.k.a wakulima wa Bunju leo wanapigwa mbili bila
 
Azam tunarejea usukanini.

Ndala wapigwe tu.
Bunju fc wapigwe tu.
 
images (1).jpg vs images.jpg
 
Kufungwa mbeya city sipendi ila kwa huku kufukuzana kati yanga na azam bora mbeya city wafungwe tu,

sina namna.
 
15:00
Tottenham Hotspur​
West Ham United

17:05
Everton​
Leicester City

19:15
Southampton​
Liverpool
 
Back
Top Bottom