Kutokana
na kiwango kizuri cha yanga kwa sasa leo ni ushindi tu na kwa ubovu wa simba ni kupigwa tu na stend united
Hawa Stand United inaonekana Patrick Kulvert kawaachia sumu.Litarejea tu hilo.
Litarejea tu hilo.
Hii mechi hisia zangu zinaniambia tunashinda kabisa na sio tu kurudisha goli.Litafanyeje?
sio kuongezwa lingine tena.
dk 16 stend u 1 simba 0.
Jidanganye
Nipo uwanjani wandugu uwanja umehaaa umetapika. Watu Wanakataliwa kuingua APA Sokoine mbeya
Bantu lady alisema ananimimina....