Ligi Kuu VPL nani Kucheka na Kulia Weekend Hii?

Ligi Kuu VPL nani Kucheka na Kulia Weekend Hii?

Sodoku

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2016
Posts
1,271
Reaction score
2,903
Matokeo ya katikati ya Juma hili kwa Ligi Kuu yalikuwa na sura mbili. Ya huzuni na ya Furaha. Kuna waliocheka na kuna walionuna pia.

Mwisho wa Juma hili tunaendelea kupata Uhondo mwingine kwa Mechi chache za Jumamos na Nyingine za Jumapili.
 
Ungeweka ratiba ya mechi weekend hii
 
Stand utd atatoka droo au kupoteza kabisa dhidi ya ndanda
 
Nilikuwa mwenye furaha wakati mnyama mkali pengine kuliko wote mwituni, akichanja mbuga

Na mkodisho FC akikodoa kodoo
 
Stand utd atatoka droo au kupoteza kabisa dhidi ya ndanda
Mkuu.. Unatakiwa ufahamu kua hawa jamaa, ni wapinzani wenu wakuu katika kugombania nafasi ya 2.. japo tuliwagagadua ipasavyo.. Imani yangu kwa hawa jamaa bado haijapotea.. Naamini mwisho wa msimu watamaliza nafasi ya pili.. Nawatakia Kila la heri.
 
Mkuu niweke sawa kwanza.Mimi ni stand pure kabisa ata ukifatilia vizuri comments zangu unaweza ngamua hivyo.Niliposema kua kesho stand anaweza akadroo au kufungwa japokua nichama langu nimeangalia effect yakucheza mechi mfululizo nakusafiri umbali mrefu.ukiangalia jumapili wamecheza pwani,jumatano shy na kesho mtwara. Timu haijapata muda wakupumzika hata kidogo
 
Chama langu AZAM kesho kuendeleza kampeni ya kuchukua point 12 kanda ya ziwa. kila la heri
 
Miye nimeota Yanga kaacha point zote pale pale Uwanja wa Marehemu Sokoine,,
Wamefungwa na kufa kiume .
 
Back
Top Bottom