Ligi Kuu ya England itaendelea leo kwa mchezo kati ya West Ham na Chelsea majira ya saa 4:00 usiku (EAT), ikiwa ni mchezo wa raundi ya pili kati ya raundi 38 zinazotarajiwa kuchezwa msimu huu.
Katika raundi ya kwanza:
Chelsea walitoka sare ya bila kufungana (0-0) dhidi ya Crystal Palace.
West Ham walipoteza kwa kufungwa mabao 3-0 na Sunderland.