Ambacho hamkijui ile ligi watu wananunua tiketi za msimu mzima tena sio watu tu hadi mashirika ...
Nadhan umefuatilia kikao kilichofanyika. Wamesitisha kuendelea kwa wakati usiofahamika lakin msisitizo ni lazima ligi iishe, ambacho nakiona msimu unaofuata wa ligi unaweza ukaahirishwa ili timu zijiandae.Sawa mchambuzi huenda hilo viongozi Wa EPl na serikali hawajaliona hilo.
Sawa mwalimu wa Mwandiko, nitajirekebisha madamYaani mtu hata kuandika hujui, eti habari za PL umezijua halafu sisi wote humu hatuzijui!
Ambacho hamkijui ile ligi watu wananunua tiketi za msimu mzima tena sio watu tu hadi mashirika huwalipia watu mbalimbali, haki za Tv hulipwa msimu mzima, matangazo, wadhamin na mambo mengi hufanywa Kwa msimu, sasa kufuta ligi maana yake ni epl ivunje mkataba, kwa kufanya hivyo italipa fedha nyingi sana na inaweza kufirisika kabisa, kwahiyo afe beki afe kipa ligi lazima ifike mwisho.
Tena ni heri ligi ichelewe kuisha uhairishwe msimu ujao kuliko kufuta msimu huu. Haiwezekani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu siku nyingine Usianzishe uzi kama huna data Sawa??Ambacho hamkijui ile ligi watu wananunua tiketi za msimu mzima tena sio watu tu hadi mashirika huwalipia watu mbalimbali, haki za Tv hulipwa msimu mzima, matangazo, wadhamin na mambo mengi hufanywa Kwa msimu, sasa kufuta ligi maana yake ni epl ivunje mkataba, kwa kufanya hivyo italipa fedha nyingi sana na inaweza kufirisika kabisa, kwahiyo afe beki afe kipa ligi lazima ifike mwisho.
Tena ni heri ligi ichelewe kuisha uhairishwe msimu ujao kuliko kufuta msimu huu. Haiwezekani
Sent using Jamii Forums mobile app
Possibly this may happen... ambacho nakiona msimu unaofuata wa ligi unaweza ukaahirishwa ili timu zijiandae.