Ligi Kuu ya NBC ikirejea tegemeeni Mchezaji Mgeni 'aliyeng'ara' Kushuka Kiwango kutokana na Kupigwa 'Pini' ya maana na Mchezaji Mzawa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
GENTAMYCINE nilipoonya hapa kuwa Viongozi wa hivi Vilabu Viwili Vikubwa wawaambie Wachezaji Wazawa waache Kuwaroga ( Kuwapiga Pini ) Wenzao wa Kigeni kwani Wanavigharimu hivyo Vilabu sikueleweka na Wengine mkanipuuza na Kunibeza.

Sasa Ligi Kuu ya NBC ikirejea tarehe za 20 Mwezi huu September, 2023 tegemeeni Mchezaji Mmoja wa Kigeni ( kutoka Klabu Moja Kubwa ) kushuka Kiwango ghafla na Waliokuwa wakimpamba hawatoamini na wataanza Kumkataa / Kumchukia.

Mkiambiwa Ficheni Jezi zenu, Viatu na Soksi zenu halafu msipende sana Kukaribisha Wachezaji Wazawa Vyumbani mwenu kwani Wengi wao hubeba Silaha Nyeusi ( Ulozi ) wa Kuwamalizeni hamsikii.

Mnadhani Mchezaji wa Kiungo Khalid Aucho alivyokataa Kukaa katika Nyumba ya Wachezaji wengi na kuamua Kukaa Mwenyewe katika Appartments za pale Baraka Plaza Mikocheni kwa Warioba alikuwa Bwege? Mnaona Anarogeka hovyo na Wazawa Wanne ( ambao wanasifika kwa Kupiga Pini ) anaogombania nao hiyo namba?

Mna hamu Kweli nimtaje huyo Mchezaji ila kwakuwa wenye Blogs na Watangazi na Wachambuzi wa Michezo huwa mnapenda kuchukua Contents zangu hapa na Kujifanya ni zenu na kujipatia Umaarufu na hamsemi Ukweli kuwa mmeitoa JamiiForums na Kwangu Mimi Mfalme ( King ) wa Taarifa Ngumu na za Ndani GENTAMYCINE wala siwatajii na hakuna Mtu anayemjua zaidi yangu na bahati nzuri huyo Mchezaji Mzawa aliyempiga hiyo Pini Mwenzake Mgeni ni Rafiki yangu na hadi Mkoa aliyoenda naujua.

Kudadadeki......!!
 
Bushoke na kale kamnyama kenye miiba.

Kule unyamani:

Kotei injury ya goti
Fraga goti
Lwanga goti

Hakika Ni shida!
 
Mkuu Genta sio kweli ulichoandika,hata arogwe vipi Gift Fred hawezi kushuka kiwango chake, Gift ni Top top defender kuwahi kusajiliwa kwenye ligi hii na kama sio majeruhi aliyoyapata juzi wakati anashuka kwenye ngazi basi ni dhahiri sasa angekuwa kambini Uganda tayari kuivusha timu yake ya taifa
 
Yaani.
 
Wapi nimesema / nimeandika kuwa Mchezaji aliyerogwa ni Gift Fred? Una Akili sawa sawa kabisa Wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…