Ligi Kuu ya NBC kuendelea leo Timu zote 16 kukipiga wakati mmoja

Sasa mgawanyo wa kuangalia hizo mechi ukoje?.
 
Sasa hapo vibanda umiza sijui itakuwaje watachagua mechi Gani ya kuangalia
 
Simba leo inaenda kupiga bomu mochwari. Maana KEN Gold kitambo ilishashuka daraja!

Ila inatakiwa pia icheze kwa tahadhari, kwa sababu na hao wachezaji wa KEN Gold pia wako sokoni. Isije tu ikatokea maiti ikamng'ang'ania mwoshaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…