Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara inaendelea tena leo Novemba 17, 2022

Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara inaendelea tena leo Novemba 17, 2022

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
14:00 Ihefu FC vs Polisi Tanzania

16:00 Mbeya City vs Kagera Sugar

19:00 Yanga SC vs Singida Big Stars

✍ BIG MATCH: Wakulima wa Alizeti, Singida Big Stars watakuwa wageni wa Mabingwa watetezi Yanga SC katika dimba la Benjamin Mkapa majira ya saa 1:00 jioni.

✍ Baada ya vipigo vitatu mfululizo dhidi ya vigogo Simba SC, Azam FC na Singida Big Stars, Klabu ya Ihefu FC itakuwa na kibarua dhidi ya Polisi Tanzania katika dimba la Highland Estate.

✍ Wanankurukumbi, Kagera Sugar watakuwa wageni wa Mbeya City katika dimba la Sokoine, Mbeya.

🤔 Wananchi watatoboa mbele ya Wabrazil wa Singida?
 
Leo polisi bora watuuwe tu, ila sio kuchomoka na pointi hapa. Watatuua tu
 
Ihefu kapoteza 2-1 home dhidi ya polisi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna timu zina vituko sana duniani
 
Back
Top Bottom