Ligi kuu ya Scotland - Celtic yakiona cha moto

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Ile sinema ya kihindi ya Sterling kupiga wenzake mwanzo hadi mwisho imemalizika rasmi leo baada ya Wababe Celtic kutandikwa na Hearts bao 4-0

Ikumbukwe kwamba Celtic hawakuwahi kupoteza game yoyote ya Ligi kuu tangu may 2016 , kwa mechi 69 mfululizo .

Utepe umekatwa sasa kila mtu ruksa , Bado Man City ambao dawa yao inachemka .
 
Wamechana sana mikeka na mwenzie Ac millan
 
daaa celtic wa kupigwa ivo, maana alitamba sana mpaka kutaka kuhama ligi et haina ushindani sasa kapata kubwa zaidi yake.
 
Man city kwa kweli katunyoosha kama rula mwaka huu,

Kama January atapita na bikra yake haijaguswa itabidi tuwaombe FA iruhusu itengenezwe timu moja yenye wachezaji bora kabisa halafu icheze na man city.
 
Anaweza kupita bila kutolewa bikra hadi msimu ujao kama ilivokuwa kwa Arsenal ileeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…