Ligi kuu ya Tanzania = Ligi daraja la 1 au la 2 ughaibuni

Ligi kuu ya Tanzania = Ligi daraja la 1 au la 2 ughaibuni

Kibishi

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
1,139
Reaction score
1,031
Watu wazima na akili zao mishipa ya shingo inawatoka kwa kushabikia mpira wa Tanzania wa butua butua,

Mpira unaopambwa na vyombo vya habari ili watu wanunue.Supastaa mtanzania akienda timu kubwa anaishia kujaribiwa na kutemwa.Anayesema ni mzalendo katika mpira wa Tanzania ni mnafiki,kwa sababu mpira wa Tanzania hauvutii.

Siupendi kabisa mpira wa Tanzania,mpira huu ni sawa sawa na mpira wa mchangani wa nchi za mbali.Ili mpira wetu uendelee wachezaji walipwe mshahara mkubwa.

Akilipwa pesa nyingi atacheza kwa ufundi wa hali ya juu.
 
Mchezaji anayecheza kwa kiwango cha juu ni yule anayelipwa pesa nyingi,tuwalipe wachezaji wetu mshahara mkubwa
 
Ligi daraja la 1 au 2 la ughaibuni kama Cyprus au Bulgari lakini kule kwenye dunia ya kwanza ya kabumbu kama Spain, Germany, Italy ni daraja la nne kabisa. Si ajabu kipindi kile masuperstaa wetu kama China na Mwameja walienda kucheza timu za daraja la nne la Uingereza.
 
Hatari sana,vyombo vya habari vinazidi kuudidimiza kwa kutosema ukweli
 
Utawalipaje wachezaji mishahara mikubwa ili hali unajua timu zote pendwa za Tanzania hazina vyanzo vya mapato wala hawana vitega uchumi vya maana...Timu zinaongozwa na watu binafsi wenye pesa zao
 
Back
Top Bottom