Ligi daraja la 1 au 2 la ughaibuni kama Cyprus au Bulgari lakini kule kwenye dunia ya kwanza ya kabumbu kama Spain, Germany, Italy ni daraja la nne kabisa. Si ajabu kipindi kile masuperstaa wetu kama China na Mwameja walienda kucheza timu za daraja la nne la Uingereza.