Ligi kuu ya Vodacom kuchezwa kituo kimoja

testa

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
442
Reaction score
180
Habari Taarifa ambayo Ni Rasmi Mh.Waziri Mwenye Dhamana Ya Michezo Mh.Harrison Mwakyembe Ametangaza kuwa
Mfumo wa Uchezaji wa Ligi katika Mpira wa Miguu ni kuwa

Ligi kuu itachezwa katika Mkoa mmoja ambao ni Dar es Salaam hivyo timu zote zitacheza mkoani Dar.

Huku Ligi daraja LA kwanza na ligi Daraja LA Pili kituo kitakuwa ni Mwanza hivyo Timu zote za Zitatakiwa kwenda Mwanza.

Michezo yote Itachezwa bila Mashabiki ila kikundi cha Mashabiki wasio zidi 20 wanaru
 
Acha pupa tuliza waka den andika vizur

Sent using Jamii Forums mobile app
 
me club nayoshabikia huwa wanalalamika hawana mpunga.

Sijui itakuaje
 
Back
Top Bottom