Naona mteja wa mirembe umejitoa mhanga kunishambulia kwa matusi baada ya kushindwa kunjibu hoja za kisoka.
Hata hivyo baba yenu Invisible huwa anawalinda na kuadhibu washabiki wa Simba pekee wakati kiukweli Yanga ndio mnaanza matusi siku zote.
Leo wameisaliti timu yao.
kule jukwaa lenu la "umbea" sijui ndio mnaliita hivyo.
Hahahahaaa kule ndipo umbea wenyewe ulipo na wambea.
Tunafuraaahi wenyewe.
Na tarehe 9 tutakuwa tutaishangilia Azam dhidi ya Mgambo.Washabiki wa Yanga siku hizi wanaitwa Steve yanga na hiyo ni kawaida yao. Njaa mbaya kule bakhressa anatoa mpaka chapati wataacha kwenda.
Hawa azam kwanini sijui wanakosa magoli
Naomba kuuliza simba mara ya mwisho kushiriki mashindano ya kimataifa ilikuwa mwaka gani ?, ilicheza na timu gani pia iliishia raund ya ngapi ?. Usisahau na aggregate ya magoli
mwambie golikipa wa yanga atoke golini bana, aungane na wenzie uwanjani halafu atarudi baadae wakishafungwa kengine
Hata everlenk leo simwoni hapa. Sijui kapotelea wapi?
hahahaah,,,,,,,,huyo sijawahi kumuona akifuatilia ligi hii ya bongo yeye za nje tu.
Asprin leo tuko na kazi nzito pale Berlin..... Katavi huwa nafatilia kimya kimya chama langu Simba linaniangusha sana.....everlenk anapasha misuli moto leo chama letu la majuu Barcelona linashuka uwanjani.
Ishu ni kupanda ndege tu au walau kufika robo fainali ya mashindano ya CAF?
Azam wanafanya mabadiliko frank domayo out john boko ndani.
Frank domayo na kavumbagu naona wamepishana na ubingwa.
napapenda kule nilimjulia huko Gigy
Wasindikizaji wa kujisifu kupiiga chenga nyingi hao wakifika hata robo fainali mimi nitaacha kuyaita wateja wa mirembe.
Kule hakuna manunuzi ya mechi ni uwezo dimbani tu.