Tajiri Mnyenyekevu
Member
- Jan 17, 2013
- 8
- 18
Imebidi leo nifikirie kwa undani sana hizi taarifa zinazotolewa na vyombo vyetu vya habari mbali mbali hapa nchini kwa kupamba baadhi ya matangazo yakisema ligi namba 6 kwa ubora tanzania kiukweli nijambo jema kwa watanzania jambo moja muhimu ni je kitugani wanaangalia mpaka kuupa hadhi mpira wetu na ligi yetu?
Kuna baadhi ya mambo ukiangalia kwenye ligi yetu unaona bado hatujafika kwenye hizo hatua kwamfano; vilabu vyetu vyote vya ligi kuu hamna supplier mkubwa wa kusambaza vifaa vya michezo kama vile nike,addidas,puma n.K
Ukitoa simba yanga na azam vilabu vilivyo baki havina anuani za makaz ya kudumu,havina vyazo vya mapato,havina uwezo wa kusaini mkataba wa sponsor wenye thaman ya 1b+ bado viwanja vibovu pamoja na miundombinu ya uwanja sio rafiki
Naamini bado safari ndefu tusijifichie kwenye hicho kichaka cha propaganda bodi ya ligi bado inahitaji marekebisho kwa maslahi baadae ya mpira wetu