Ligi ya Bara mwaka huu ilikuwa na msisimko

Ligi ya Bara mwaka huu ilikuwa na msisimko

Nazjaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
7,730
Reaction score
9,088
Yaani sijawahi kufuatilia ligi. Lakini jana nikajikuta na haha kupiga simu kwa wadau mbalimbali ili kupata matokeo.
 
yah mwaka huu ligi ilikuwa babu kubwa yan mpaka mwisho hakuna mshndi c kama miaka mingne mapemaaa 2shamjua... Yanga hoyeeeeeee!
 
Back
Top Bottom