L Lowkii JF-Expert Member Joined Oct 24, 2020 Posts 293 Reaction score 459 Jun 12, 2022 #1 Wakuu salam. Baada ya Fainali kati ya Golden State Warriors na Boston Celtics ningependa kufahamu kutoka kwa wapenzi wa Basketball ni lini tena ligi itarejea .
Wakuu salam. Baada ya Fainali kati ya Golden State Warriors na Boston Celtics ningependa kufahamu kutoka kwa wapenzi wa Basketball ni lini tena ligi itarejea .
ChickMagnet JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 2,676 Reaction score 3,451 Jun 12, 2022 #2 Game 5 ni jumanne alfajiri
kagwima JF-Expert Member Joined Jun 6, 2016 Posts 1,278 Reaction score 1,630 Jun 12, 2022 #3 Mechi kabambe saana mweh ufundi wa hali ya juu kwa timu zote mbili
M MACHONDELA JF-Expert Member Joined May 7, 2018 Posts 940 Reaction score 1,573 Jun 13, 2022 #4 Trh 14 alfajir tubet tu Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
MIXOLOGIST JF-Expert Member Joined Mar 1, 2016 Posts 14,311 Reaction score 36,056 Jun 13, 2022 #5 Ngoja wamarekani waje
Seawhale JF-Expert Member Joined Sep 25, 2016 Posts 1,477 Reaction score 1,668 Jun 14, 2022 #6 Mtoa mada ameeleweka lakini?.
beefinjector JF-Expert Member Joined Jul 23, 2009 Posts 2,458 Reaction score 2,496 Jun 14, 2022 #7 Lowkii said: Wakuu salam. Baada ya Fainali kati ya Golden State Warriors na Boston Celtics ningependa kufahamu kutoka kwa wapenzi wa Basketball ni lini tena ligi itarejea . Click to expand... Ligi ya NBA kwa kawaida huanza mwezi October kila mwaka.
Lowkii said: Wakuu salam. Baada ya Fainali kati ya Golden State Warriors na Boston Celtics ningependa kufahamu kutoka kwa wapenzi wa Basketball ni lini tena ligi itarejea . Click to expand... Ligi ya NBA kwa kawaida huanza mwezi October kila mwaka.