Ziz iz Zimba braza [emoji881]
Kwa kweli simba ina warembo ah
We ndo mshabiki wa kweli sasa waambie na vyura wengine bhanaHongereni sana mtani aka mkia roho inaniuma sana kwa ushindi Lakin sina budi kuyakubali matokeo na kuwapa kongole kwa kushindana na kushinda kisha kuitoa kimasomaso Tanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28][emoji28][emoji28]Wana Simba tunatetema, yaone makandambili yalivyonuna! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji12]
Uchawi tu huo!
Wachonge FENICHA wasichonge MANENO
Muache tu aomeshewe maana tayari mzigo umeshafika so punda hata akifa fresh tuAishi manula anaoneshwa kadi ya njano na mpira umeisha
Sent using Jamii Forums mobile app from my iPhone 5s
Unaujua ushabiki. Kama Messi alivyompongeza R7Hongereni sana mtani aka mkia roho inaniuma sana kwa ushindi Lakin sina budi kuyakubali matokeo na kuwapa kongole kwa kushindana na kushinda kisha kuitoa kimasomaso Tanzania
Sent using Jamii Forums mobile app