Ligi ya Klabu Bingwa Afrika: Simba SC 2 - 1 AS Club Vita | Simba yafuzu kucheza hatua ya mtoano 2019

Ligi ya Klabu Bingwa Afrika: Simba SC 2 - 1 AS Club Vita | Simba yafuzu kucheza hatua ya mtoano 2019

Leo Mabingwa wa Soka wa Nchi hii Simba imeingilia Robo Fainali za Klabu Bingwa Afrika sio kwa Bahati bali kwa kutumia usemi wa Pointi 3 za uwanja wa nyumbani ni Muhimu.Simba imeshinda mechi zake zote za nyumbani na kujikusanyia Point 9 na kushika nafasi ya 2.Point za Ugenini ni Bahati tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
large.jpg

kwa nini lisije TZ hili kombe..
 
Goli la pili la SIMBA lililofungwa na CHAMA unalizungumziaje Mwalimu kashasha?
" Hili goli linaitwa pendulum ball insector with round bottom flask passing hii hupigwa mara chache sana Kwa mara ya mwisho ilipigwa na adolf hitler mnamo 1939 "
 
Hongereni kwa Ushindi Simba Sports Club, mumeshinda na Tanzania imeshinda pia
 
Kun FAYA kun...Manara bana sijui anamanisha nini.. Nimejaribu kuangalia nane bora.. Enyimba .Asante kotoko na nyingine nyingi za magharibi hazimo. Kwa sauti ya kike .SIMBA OYEE.. Kiitikio sauti ya Kiume..
 
Asalam Alaykum
Hiyo ndio As Yanga Vita bwana.


Sent from my iPhone using JamiiForums

Hapa ndiyo Shida ilipoanzia! Unajuwa Wazi kuwa Mnyama akitajiwa Yanga basi ana uhakika wa Kujilia Uroda ...

FT: Simba SC 2 - 1 Vita + Yanga + Zuhura
 
Back
Top Bottom