Ligi ya Klabu Bingwa Afrika: Simba SC 2 - 1 AS Club Vita | Simba yafuzu kucheza hatua ya mtoano 2019

Mwinyi Zuhura kaiacha Yanga Kaenda kufuata Umbeya kwa Vita, Hatimae Yanga imeliwa na Vita imeliw.
 
Simba acha washangilie..hizi ni wiki zao...ila nikiangalia uwezo wenu over 2 legs kwnye mechi zenu za makundi,,kwakweli hautii moyo .kwnye mtoano sijui itakuaje
 
Mi naombeni kujua. Kwa nini nchi zingine champions league zina timu zaidi ya moja.
Nimemsikiliza Mwigulu Nchemba jana kuhusu Simba, akasema wale wenzake wanaoshabikia timu nyingine hawajitambui sababu Simba kama ikifika nusu fainali nchi inapewa nafasi zaidi ya moja champions league, ni kweli?
 
Dah simba inanichanganya sana ikicheza taifa mpaka najiuliza tunashindwaje kulisakata namna ile ugenini? Nimefurah sana weekend imekua murua..na leo ndio nimejua kwanin mashabiki tunafia uwanjan hata kama timu yako imeshinda
Week imeenda vizuri sana kwangi. Simba kashinda, yanga kapigwa na Manu kapigwa.
 
Simba acha washangilie..hizi ni wiki zao...ila nikiangalia uwezo wenu over 2 legs kwnye mechi zenu za makundi,,kwakweli hautii moyo .kwnye mtoano sijui itakuaje
Mmeanza tena. Nyie watu mna roho za paka.
 
Nadhani tunazidi kushuhudia juhudi za mheshimiwa rais katika kuleta mabadiliko ya kweli na kurejesha furaha kwa watanzania ambao nyuso zao zilipoteza Siha kwa muda mrefu.jana usiku nchi karibu yote ilizizima kwa ushindi wa Simba.huu Ni uthibitisho kuwa wananchi wanashiba ndio maana wanashangalia namna ile.kama maisha yangekuwa magumu wananchi wangetoa wapi NGUVU za kushangilia.ushindi wa simba unafanya wananchi angalau wazidi kusahau machungu kidogo ya kubaniwa ujanja ujanja waliokuwa wameuzoea.hakuna kuchonga Sana kazi kubwa maneno kidogo.ungana na Tanzania mpya tuendelee kufurahia vya kwetu Tanzania ya Simba,Tanzania ya Magufuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…