Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
Simba acha washangilie..hizi ni wiki zao...ila nikiangalia uwezo wenu over 2 legs kwnye mechi zenu za makundi,,kwakweli hautii moyo .kwnye mtoano sijui itakuaje
Hivi hili jina LIPULI lina maana gani mbona kaa tusi hivi.
Huyu dada yetu Shadeeya itakuwa umeme umekatika kwao. Maana huu muda angeshafika kutupa hongera.
Nimemgundua kawa mjanja sana sana! Alipobaini Simba inanafasi ya kusonga mbele alitoweka mapema tu kabla ya hata game kumaliza
Hahahah team ndala fcMungu ibariki AS Vita, Amen [emoji1488]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Punyeto hio baba la babaHivi hili jina LIPULI lina maana gani mbona kaa tusi hivi.
Niyonzima Jana ndie aliyebadili mzezo.Hawa ni wafalme siku ya leo. Clatous Chama, Boko adebayo,Niyonzima,Manula,Mo Hussein Shabalala,Wawa,Nyoni,Mk 14,Kotei,Okwi ,Zana C,Mzamiru,Rashid.
Tunasema mmeturahisishia kazi mwakani tutakwea pipa pamoja, tupo mmgongoni mwenu!This is Simba! Tumeshinda full time Simba 2 Vita 1. Mnasemaje yanga!?
Nazani utakua umelala mpaka sasaAsalam Alaykum
Hiyo ndio AS Yanga Vita bwana.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kumbe ndiyo maana mnatukanwa!Nadhani tunazidi kushuhudia juhudi za mheshimiwa rais katika kuleta mabadiliko ya kweli na kurejesha furaha kwa watanzania ambao nyuso zao zilipoteza Siha kwa muda mrefu.jana usiku nchi karibu yote ilizizima kwa ushindi wa Simba.huu Ni uthibitisho kuwa wananchi wanashiba ndio maana wanashangalia namna ile.kama maisha yangekuwa magumu wananchi wangetoa wapi NGUVU za kushangilia.ushindi wa simba unafanya wananchi angalau wazidi kusahau machungu kidogo ya kubaniwa ujanja ujanja waliokuwa wameuzoea.hakuna kuchonga Sana kazi kubwa maneno kidogo.ungana na Tanzania mpya tuendelee kufurahia vya kwetu Tanzania ya Simba,Tanzania ya Magufuli.
Naona Mtani unaibuka kutokana na matukio. AISEEE
Nilikuwa nakusubiriNaona Mtani unaibuka kutokana na matukio. AISEEE
MANENO YAKO YALITIMIAHii mechi tunashinda msihofu wanasimba
Upo Mjomba